Mix

Rekodi ya Beyonce kashika nafasi ya pili kwa wanawake wenye mvuto duniani

on

Ni Healdines za Mama Blue Ivy Carter, Beyonce ambae ametajwa na tafiti zilizofanywa na Golden Ratio Of Beauty kuwa ndie mwanamke wa pili mwenye mvuto duniani akiungana na mwanamitindo Bella Hadid.

Pichani ni Bella Hadid ndio ameshika nafasi ya kwanza badala ya Beyonce

Katika tafiti hizo walizingatia zaidi uzuri wa umbo, Mdomo wakuvutia, pua, shingo nk.

Soma na hizi

Tupia Comments