Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Dr. Tulia alivyotembelea vivutio usivyofahamu kama vipo Tanzania
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Maajabu > Dr. Tulia alivyotembelea vivutio usivyofahamu kama vipo Tanzania
Maajabu

Dr. Tulia alivyotembelea vivutio usivyofahamu kama vipo Tanzania

July 13, 2017
Share
4 Min Read
SHARE

Huenda ukawa mmoja wa watu wanaoishi Tanzania lakini kuna vivutio vinavyopatikana Tanzania hujawahi kuvishuhudia na huwa unavisikia tu kama kuna vivutio vya namna hiyo.

Kama jibu ni Yes basi leo nakuunganisha kwenye safari moja ya Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ambaye yupo kwenye ziara Mbeya na leo alikuwa na kazi moja tu kutembelea baadhi ya vivutio vya maajabu vilivyo kwenye mkoa huo.

Maji yanayopita chini ya daraja la Mungu
Naibu Spika Dr Tulia Ackson katika pozi chini ya daraja la Mungu

millardayo.com ilikuwa sambamba na Naibu Spika kwenye kuyanasa matukio yote makubwa katika picha na hapa nimekusogezea kila kitu ikiwemo stori ya Daraja la Mungu iliyotolewa na Chifu wa Kabila la Wanyakyusa Lusajo Mwahesya:>>>”Daraja la Mungu ni daraja ambalo halijajengwa na mtu bali ni la asili toka kwa Mungu mwenyewe. Wagunduzi wa daraja hili ni Kabila la Wandali ambao walikuwa wakipita eneo hili na kutumbukia huku wakiwa wamejifunga mbuzi.

“Wananchi walikuwa wanahangaika kuvuka kutoka upande mmoja wa Mto kuelekea mwingine huku wengi wakiishia kupoteza maisha na baadae walimuomba sana Mungu ndio likagundulika hili daraja.” – Lusajo Mwahesya.

Daraja hili lilijengwa na wazungu kwa ajili ya kupitisha madini

“Kwanza kabisa hili eneo zamani kabisa Wazungu walikuwa wakichimba na kusafirisha madini mbalimbali ambapo baadaye Mwalimu Nyerere alivyogundua kuwa wanafanya biashara ya kusafirisha madini yetu akaagiza waondoke ndani ya saa 24.” – Lusajo Mwahesya.

Safari ikaendelea hadi katika eneo linalofahamika kwa jina la Kijungu, Chief akaendelea kutupatia ufafanuzi kuhusu eneo hili pia:>>>”Kijungu ni neno la kilugha likimaanisha Chungu. Kuna daraja ambalo pia watu wanavuka lakini kwa masharti ya kupanda kwa kuanzia na mguu wa kulia kisha kushoto na wakati wa kurudi inakuwa kinyume chake na ukienda kinyume chake ni lazima utumbukie na kupoteza maisha.”

Hili ni eneo la Kijungu ambalo pia maiti za watu huokotwa pembezoni

“Ikitokea mtu akadumbukia na kufariki kuna vitu huwa navifanya ndio naweza kuzama kwenda kutoa maiti hizo, kwa mwaka 2017 pekee nimetoa karibu maiti tisa za watu waliofariki kwenye mfereji huu.” – Lusajo Mwahesya.

Baadaye safari ikaendelea hadi katika maporomoko ya maji ya Kaporogwe ambapo Adam Kajera akatoa historia fupi:>>>”Kaporogwe ni maporomoko ya maji ambapo wazee wa zamani wanasema palikuwa panaitwa KUNDURIRO na jina la Kaporogwe lilianzia baada ya mzee aliyekuwa anachunga ng’ombe kisha fimbo yake ikamponyoka wakati anaifuata fimbo yake bahati mbaya akaja kudondokea huku. Kwa kuwa alikuwa anaitwa Kaporogwe basi watu wakaamua eneo hili kuitwa jina la huyo mzee ambaye kwa sasa nasikia anaishi Morogoro.”

Maporomoko ya maji ya Kaporogwe
Hili ni eneo ambalo watu wakifika wanaweza kupuzika, halijatengenezwa na mtu
Dr Tulia na baadhi ya watalii wakitazama maporomoko ya maji

Dr Tulia akipita katika mlango wa kuingilia kwenye maporomoko hayo

VIDEO: Maamuzi ya Dr. Tulia baada ya kukuta ubovu kwenye shule aliyosoma Mbeya 

You Might Also Like

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

Burkina Faso :Vyombo vya habari vya Ufaransa vyafungiwa, baada ya kufanya mahojiano na Al-Qaeda.

Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

TAGGED: habari daily, matukio, TZA HABARI
Admin July 13, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Adhabu itakayowakuta ambao hawakupeleka vyeti vyao ili vihakikiwe
Next Article PICHA: Everton wameifunga Gor Mahia Wayne Rooney akianza rekodi mpya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?