Mix

JEURI YA PESA: Mayweather amwaga pesa mbele ya hasimu wake McGregor

on

Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wamekutana tena, mara hii wakikutana New York, ambapo tambo na majigambo vilichukua nafasi baina yao huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi katika pambano lao litakalopigwa August 26.

Moja ya matukio yaliyovuta hisia za mashabiki wao ni kitendo cha Mayweather kumtupia mpinzani wake McGregor kiasi kikubwa cha fedha.

Pambano la Conor McGregor vs Floyd Mayweather litapigwa 26 August, T-Mobile Arena, Las Vegas, Marekani.

Ayo TV MAGAZETI: Kama ulikosa uchambuzi wa Magazeti ya Tanzania July 14, 2017…bonyeza PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!!!

Soma na hizi

Tupia Comments