AyoTV

VIDEO: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi akitangaza maagizo ya Rais.

on

Taarifa iliyotolewa leo tarehe 12 Oktoba, 2016 Ikulu Dar es Salaam na katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli ameagiza viongozi wote wa serikali walioalikwa kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 14 Oktoba Bariadi Simiyu kutohudhuria sherehe hizo na wale ambao walishalipwa fedha ya posho na safari wazirejeshe.

Itazame hii video hapa ujionee alichokisema Katibu mkuu kiongozi Balozi Kijazi akitangaza maagizo ya Rais

ULIIKOSA HII YA MAKAMU WA RAIS SAMIA HASSAN SULUHU ALIVYOWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA HOSPITAL YA AMANA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments