Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Tatu Mzuka imedhamiria kuzalisha Mamilionea wapya Tanzania

on

Balozi wa Tatu Mzuka Musa Hussein leo mbele ya waandishi wa habari ameitangaza good news kuhusiana na mabadiliko ya kimaboresho yaliofanywa na Tatu Mzuka, Musa ametangaza kuwa sasa hivi Tatu Mzuka imedhamiria kuongeza idadi ya Mamilionea Tanzania.

Moja kati ya maboresho waliyoyafanya Tatu Mzuka ni kuwa Mshindi atakuwa anapatikana kila baada ya dakika 5 sio 10 tena, kwa mabadiliko hayo basi idadi ya washindi watakuwa wanaongezeka tofauti ilivyokuwa na awali, pili kila wiki kuna Boda Boda moja itakuwa inatolewa kwa mshindi.

Zaidi Bonyeza PLAY kufahamu zaidi.

Mzee Muchacho na Fahad wambananisha Haji Manara avae jezi ya Yanga SC

Soma na hizi

Tupia Comments