Habari za Mastaa

VIDEO: Mastaa waliojitokeza kuuaga Mwili wa Pancho leo Lugalo

on

Siku ya leo September 12, 2018 mwili mtayarishaji wa muziki Pancho Latino umeagwa katika ibada fupi iliyofanyika katika Hospital ya Lugalo ambapo baadhi ya wasanii pamoja na watu maarufu walihudhuria ibada hiyo na baadae kupata nafasi ya kuzungumza na Ayo TV pamona na millardayo.com

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

BDozen “Fiesta leo tutamuenzi Pancho Latino katikati ya Show”

Soma na hizi

Tupia Comments