Habari za Mastaa

VIDEO: Huyu ndiye Producer Kimambo kafunguka Shetta kutumia biti ya Nandy

on

Baada ya Shetta kuachia wimbo wake mpya wa ‘Hatufanani’ wimbo ambao umeibua story mtandaoni zinazodai kuwa Shetta ametumia beat iliyotumika kwenye wimbo wa Nandy wa ‘Aibu’, sasa AyoTV na millardayo.com zikamtafuta mtayarishaji wa mdundo huo anayeitwa Kimambo.

Bonyeza PLAY kusikia alichozungumza KIMAMBO kuhusu SHETTA kutumia beat ya NANDY.

EXCLUSIVE: Wasanii wa Alikiba wafunguka ‘Gharama nyingi zimetuka kuwaandaa’

Soma na hizi

Tupia Comments