Ad

AyoTV

VIDEO: Alivyosherehekea Birthday yake Mama Janeth Magufuli leo

on

Mke wa Rais mama Janeth Magufuli leo jumapili ya April 9 2017 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea na kutoa msaada katika hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam.

Licha ya mama Magufuli kuamua kusherehekea Birthday yake kwa kutembelea hospitali ya Ocean Road na kutoa msaada katika taasisi ya saratani hospitalini hapo, ameweka wazi kuwa Ocean Road ndio hospitali aliyozaliwa.

VIDEO: Rais Magufuli alivyokutana na Balozi wa Umoja wa Ulaya IKULU

Soma na hizi

Tupia Comments