Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Baada ya Zari kulitupia lawama shirika la ndege Kenya Airways, amejibiwa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Baada ya Zari kulitupia lawama shirika la ndege Kenya Airways, amejibiwa
Mix

Baada ya Zari kulitupia lawama shirika la ndege Kenya Airways, amejibiwa

October 15, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya Zari kulalamika Jana October 15, 2019  juu ya taarifa za kupotea kwa vitu vyake vilivyokuwa vikisafirishwa na ndege aina ya Kenya Airways, sasa leo shirika hilo limejibu.

Kwa wale ambao hamjui kilichotokea ni kwamba Zari The Boss Lady alilalamika ameibiwa na shirika hilo vitu vyake vya thamani vikiwemo Perfume alizotumiwa na marafiki zake kutokea Dubai pamoja na nguo.

Sasa Leo October 15, 2019 Shirika hilo limejibu Zari the Boss Lady kupitia mitandao yao na kuyaandika

‘Kwako zari tunatamani kwa wateja wetu wote kuwa na safari nzuri, tumekutafuta ili kuweza kupata maelezo yako ambayo yataweza kutusaidia kuratibu pamoja na uongozi ambavyo vimesafiria katika viwanja vyetu (JHB, JKIA, EBB)  ili kuweza kujua kilichotokea tunasubiria jibu lako’- Kenya Airways

Zari aliwajibu kwa neno ‘Thank you’ kwahiyo inaashiria kuelewana na shirika lakini bado Mashabiki wanaendelea kulitupia lawama kampuni hiyo.

You Might Also Like

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

TAGGED: Zari the Boss Lady
Edwin TZA October 15, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Patoranking katuletea hii video mpya akiwa na Busiswa ‘Open fire’
Next Article Waziri Mkuu wa Bulgaria kashindwa kuvumilia ubaguzi waliofanyiwa wachezaji wa England
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?