Kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo maana wapo watu wachache wanaoweza kutimiza haja na matarajio ya wengine kwa kuguswa na hali zao kwa ama kuuza au kuweka rehani vitu vyao vya thamani kusaidia wengine.
Ayo TV na millardayo.com zimekutana na kijana Salim Omar ambaye ameamua kurudisha sehemu ya kipato chake kwa jamii yake kwa kuguswa na maisha ambayo hata yeye aliwahi kuishi.
Mtanzania ambaye akikosa siti ya mbele kwenye daladala hasafiri!!!!