Habari za Mastaa

Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama hii video mpya ya 50 Cent

on

Screen Shot 2014-03-25 at 6.05.20 PM50 Cent yupo kwenye hii game kwa miaka kadhaa sasa hivi toka enzi hizo dunia inamfahamu kwa single yake ya ‘In da club’ ambayo nakumbuka ilivunja rekodi pia mpaka nchini Afghanistan.

Hii video mpya hapa chini inaitwa ‘Pilot’

Tupia Comments