Habari za Mastaa

Wema Sepetu amezungumzia taarifa za ujauzito wake

on

Screen Shot 2014-06-16 at 4.16.41 PMStaa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito…

Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu’
Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.25 PM

Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.38 PM

Tupia Comments