Mix

Walichofanya @AyTanzania na @FarajaNyalandu kwenye hii video ya dakika 3.

on

Screen Shot 2014-06-26 at 11.55.57 PMSiku ya mtoto Afrika 2014 ndio msanii Ay na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Faraja Nyalandu walitangazwa kuwa mabalozi wa UNICEF ambao wataweka nguvu zao kwenye vita dhidi ya ubakaji/unyanyasaji kwa watoto.

Hii video hapa chini ni sehemu ya kazi yao kwenye huu ubalozi wa UNICEF.

Tupia Comments