Mix

Brothers and sisters hii ni kutoka Born to Shine!! @Bdozen

on

b8

Cyrill na B12

Kutoka born to shine… clothing line inayomilikiwa na mtangazaji wa Clouds FM B Dozen ambae pia ni mfanyabiashara anaemiliki duka la Born to shine lililopo Mwenye mkabala na ofisi za TRA.

Kwa longtime kidogo tulizoea kuiona logo ya born to shine kwenye muonekano mwingine lakini sasa hivi Dozen ameileta kuisogeza kwa muonekano mpya kabisa wa kuzidi kupambaika kama unavyoona jinsi mastaa wa bongo walivyotupia akiwemo Jux, Cyrill na Young D.

b7

b6

b5

b4

b3

b2

b9

b10

b11

b1

Tupia Comments