AyoTV

VIDEO: Kutana na mahala alipoanzia mfanyabiashara Bakhresa kushona viatu

on

Ayo TV na millardayo.com imekutana na Mzee Ally Msusa ambaye amekuwepo tangu Mzee Bakhresa anaanza na biashara yake ya kwanza ya kushona viatu mtaa wa Agrey na Livinstone Dar es Salaam miaka ya 1970, ametuonesha eneo alipoanzia Bilionea huyo.

JIONEE RAIS MSTAAFU AKIZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM KUHUSU MWENENDO WA CHAMA HICHO 

Tupia Comments