Video Mpya

VideoMPYA: Ni time ya kuipokea “Mama Lao” kutoka kwa Chindo Man ft Rayvanny

on

Leo February 6,2018 kutoka Bongo Flevani nakusogezea video ya wimbo mpya wa Chindo Man “Mama Lao” akiwa amemshirikisha Rayvanny kutokea WCB. Bonyeza PLAY ku-enjoy wimbo huo.

“Wasanii wengi wanafanana, Wakali tunahesabika”- Belle 9

 

Soma na hizi

Tupia Comments