AyoTV

Video:Nandy kafunguka ya Marekani, ‘Nimekutana na Ronald & Messi’

on

Ni Msanii kutoka Bongo Flevani, Nandy ambae leo Novemba 5, 2019 amefanya mahojiano na Ayo TV kuelezea safari yake ya Marekani na namna alivyokutana na wachezaji wakubwa wa mpira kawataja Cristian Ronald na Messi.

Itazame hii video ujionee Nandy akielezea mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments