AyoTV

VIDEO: “Mimi ndio Spika, nasema mwaka mtu hakanyagi hapa” – Ndugai

on

June 30, 2017 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai alisimama Bungeni Dodoma na kuwaeleza Wabunge ambao wamekuwa na tabia za kudharau Mamlaka ya Bunge na wanapoadhibiwa hukimbilia Mahakamani akisema hawatafanikiwa na adhabu zitaendelea…

VIDEO: Onyo la Waziri Nchemba kwa Wabunge wanaoshabikia mauaji ya KIBITI 

Soma na hizi

Tupia Comments