Habari za Mastaa

Ni long time hujawaona P Square wamepewa kolabo? tazama hii

on

Screen Shot 2014-07-29 at 4.58.20 AMLabda inawezekana ni utaratibu waliojiwekea P Square ambao pamoja na kwamba huonekana mara chache wakiwa wameshirikishwa kwenye nyimbo na Wasanii wengine wachache wa Afrika, huwa inatokea mara chache sana.

Miongoni mwa wachache waliopata nafasi ya kufanya kolabo na P Square ni huyu mshkaji anaitwa Phyno na video yenyewe ndio hii hapa chini.

Tupia Comments