AyoTV

Video 10 za hiphop zinazotamba kwenye Top10 ya TRACE TV

on

Screen Shot 2014-07-29 at 6.46.20 AMKama kiu yako ni kufahamu pia kuhusu hiphop yenye nguvu duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa kama Marekani, UK, France, Australia na kwengine… hii ni time yako mtu wangu.

Kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za hiphop wiki hii.

  1. Future na Kanye West – I won

  1. T.I – No Mediocre ft. Iggy Azalea

  1. Nicki Minaj – Pills and Portions

  1. Kidd Ink ft. Chris Brown na Tyga – main chick remix

  1. Future ft. Pharrell na Pusha T – Move that dope

  1. Migos – fight night

  1. K Camp ft. 2 Chainz – cutt off her

  1. Wiz Khalifa – We dem boyz

  1. Iggy Azalea – fancy ft. Charli XCX

  1. School Boy – studio ft. Bj The Chicago Kid

Ni halali yako kupata kila kinachonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments