Mix

Kiasi ambacho Lionel Messi ametakiwa kulipa badala ya kwenda jela miezi 21

on

Nyota wa soka wa Argentina Lionel Messi ambaye anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Uhispania amebadilishiwa adhabu badala ya kwenda jela kwa miezi 21 sasa amemriwa na Mahakama za Uhispania kulipa faini baada ya kupatikana na hatia ya kukwepa kodi.

Messi ambaye alifunga ndoa hivi karibuni atalazimika kulipa euro 252,000 ambazo ni sawa na Dollar 288,000, au Pound 223,000 zaidi ya Tsh. 624m, imesema taarifa ya Mahakama.

Messi, sanjari na baba yake Jorge, walikutwa na hatia ya kukwepa kodi ya euro 4.1m zaidi ya Tsh. 10b kati ya mwaka 2007 na 2009 ambapo kifungo cha miezi 15 alichohukumiwa baba yake kinazibwa na faini ya euro 180,000 swa na Tsh. 450m.

VIDEO: All Goals Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017. Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments