Magazeti

Uko mbali na Radio? nimekurekodia Magazeti ya leo July 29 yakisomwa.

on

Radio 3Ni time yetu tena tuliombali na Radio kusikiliza makubwa yaliyosomwa kutoka kwenye Magazeti ya nyumbani Tanzania ambapo leo July 29 2014 miongoni mwa habari kubwa ni pamoja na kesi ya mabaki ya vile viungo vya binadamu vilivyokutwa Tegeta Dar es salaam.

Gerald Hando ndio msomaji wa stori kubwa za leo

Tupia Comments