AyoTV

Dakika 1 ya jinsi Ronaldo alivyokua akitengeneza tangazo lake jipya la TV

on

Screen Shot 2014-07-30 at 5.20.30 AMRonaldo ambae mwaka huu ametajwa kuwa mwanamichezo namba moja kwenye kushawishi makampuni makubwa ya kibiashara kufanya nae kazi ya kutangaza bidhaa zao, ndio anamiliki hii post kwa leo.

Hii ni dakika moja na sekunde zake wakati akitengeneza tangazo la TV la moja ya dili zake, ni tangazo la nywele.

Screen Shot 2014-07-30 at 5.32.46 AM

Hii ni picha ya tukio jingine pale Ronaldo alipokutana na bondia Floyd Mayweather wa Marekani

Screen Shot 2014-07-30 at 5.32.54 AM

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments