Habari za Mastaa

Baada ya Nicki Minaj, huyu ni staa mwingine wa dunia alietumia neno la ‘Kiswahili’ instagram

on

Screen Shot 2014-08-02 at 7.30.26 AMStori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’

Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA
Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.16 AM

Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.30 AMUnataka niwe nakutumia kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments