AyoTV

Dudubaya on @AyoTV kuhusu Ali Kiba na Diamond, wasanii kutembea na bodyguard, uchawi na mengine

on

Screen Shot 2014-07-30 at 5.46.38 AMDudubaya ni miongoni mwa Wasanii wa longtime kwenye ukoo wa bongofleva ambapo pamoja na yote anayoyafanya, anakiri kwamba amekua akifatilia sana muziki huu na Wasanii wenyewe huko mtaani ndio maana hasiti kutoa maoni yake kuhusu mienendo ya baadhi ya Wasanii kwa sasa.

Kwenye Exclusive na AyoTV Dar es salaam Dudubaya ametoa ya moyoni kuhusu ishu za uchawi kwenye bongofleva, anachokisikia kuhusu Ali Kiba na Diamond, Wasanii wa bongofleva kutembea na Bodyguard pamoja na mengine ambayo unaweza kuyapata kwa kumtazama hapa chini.

Ili kuwa Mwanafamilia wa AyoTV na millardayo.com (TZA) karibu ujiunge kwenye mitandao hii ya kijamii ili niwe nakutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook kila kinachonifikia kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB twitter-AyoTV

Tupia Comments