Mix

Zawadi ya Birthday ya Rais wa Urusi aliyopewa na Rais wa Turkmenistan

on

Rais wa awamu ya nne wa Urusi Vladimir Putin kwa kawaida huadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kila mwaka October 7, Putin alizaliwa October 7 1952 na mwaka 2017 ametimiza umri wa miaka 65.

Vladimir Putin ni moja kati ya watu wanaopenda sana mbwa na kuadhimisha siku yake ya kuazaliwa Rais wa Turkmenistan Gurbanguly Berdymukhamedov amemletea mbwa mdogo kama zawadi ya BirthDay kutokana na Putin kupenda mbwa.

Kama humfahamu vizuri Vladimir Putin  kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya nne wa Urusi aliwahi kuwa waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa vipindi viwili kuanzia mwaka 1999 hadi 2000 na baadae 2008 hadi 2012.


VIDEO: Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha

Soma na hizi

Tupia Comments