Habari za Mastaa

Movie zote zinazoonyeshwa kuanzia Feb 14 hadi Feb 20, ratiba zake zipo hapa

on

CaptureKama upo Dar au Arusha na movie ni moja ya kitu ukipendacho basi unaweza kwenda kuangalia hizi movie kwenye theater uipendayo.

The Best Man  holiday ni moja ya movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo 14 feb na hapa ipo list yote ya movie pamoja na muda kwenye theater husika.

1

2

3

4

Tupia Comments