AyoTV

Wewe ni shabiki wa Nicki Minaj? video yake mpya ya Anaconda ndio hii imetoka

on

Screen Shot 2014-08-20 at 9.14.21 AMOnika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj, mwenye sifa ya utumiaji dawa za kulevya na aliewahi kutaka kumuua Mama Minaj kwa kutishia kuchoma moto nyumba yao.

Nicki ni staa kutoka kwenye familia ya kawaida tu kiuwezo lakini muziki wake umebadilisha maisha yake na ya familia ambapo kwenye mfululizo wa kuzitoa nyimbo zake, anatukutanisha na hii video yake mpya.

Unataka niwe nakutumia kila ninachokipata? bonyeza hapa kujiunga mtu wangu >>> twitter Insta FB

Tupia Comments