Michezo

Kingine kinachosubiriwa na Watanzania Dar es salaam.

on

Screen Shot 2014-08-21 at 3.29.18 PMNi game ambayo imesubiriwa na wengi nikiwemo mimi yani, japo niko 96.0 Tanga kwa ajili ya Fiesta Jumamosi hii, nimepata magazeti ya leo yanayosema nyota wa zamani wa club kubwa duniani ya Real Madrid, Luis Figo, Karembeu na Owen ni miongoni mwa wanaotua Tanzania leo.

Kwako mtu wangu, endelea kuuonyesha uzalendo wako kujitokeza kwenye hii mechi ambayo itahusisha Tanzania 11 vs Wakongwe wa club ya Real Madrid.

Tupia Comments