Habari za Mastaa

Mke wa Pascal Cassian anaeteseka kitandani “msimuache ateseke” (+video)

on

Mke wa Pascal Cassian aliyekuwa mshindi wa BSS mwaka 2009 na baadae kupata ajali ya gari iliyopelekea kuumia paja na kupasuka kwa kibofu ambapo kimekuwa kikimtesa pasipo kupona kitu kilichopelekea kuomba msaada kwa watanzania ili wamuwezeshe apate matibabu na kupona.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mke wa Pascal akizungumza.

VIDEO: Majibu ya Sengo baada ya kubananishwa ishu ya kuzaa na Steve

Soma na hizi

Tupia Comments