Habari za Mastaa

Mtanzania Herieth kalamba dili lingine la Mamilioni

on

Unamkumbuka Herieth Paul, Mrembo Mtanzania ambaye amezaliwa Dar es Salaam lakini kaishi Canada na mama yake mzazi tangu akiwa na miaka 12 na Mtanzania aliyewahi kupata dili la Tsh. Bilioni 1 kwa kutokea kwenye onyesho la Victoria Secret, Ufaransa.

Sasa good news ni kwamba time hii mrembo huyo amepata nafasi ya kushiriki kwa mara ya pili onesho hilo la Victoria Secret.

Herieth kazungumza na Ayo TV na millardayo.com na kufunguka kuhusu onesho hilo na mengine mengi.

ULIPITWA? Nay wa Mitego kawachana wote Diamond, Alikiba & Dimpoz 

Soma na hizi

Tupia Comments