Mix

VideoFUPI: Sayari nyingine 10 zimegunduliwa, Binadamu wanaweza kuishi

on

Kila inapoingia siku mpya, binadamu amekuwa akifikiria mbinu mpya ambayo itamsaidia katika maisha yake ya kila siku, na kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kugundua vitu vipya imekuwa rahisi sana kwa binadamu.

Leo June 20, 2017 nimekutana na story inayowahusu Wanasayansi wa Shirika la Anga la Marekani NASA ambao wanasema kuwa wamegundua Sayari nyingine 10 angani ambazo inadaiwa binadamu wanaweza kuishi.

UFAFANUZI wa TFDA kuhusu Mchele wa Plastic unaodaiwa kusambaa Tanzania!!!

Soma na hizi

Tupia Comments