AyoTV

AyoTV RUVU: Saa 5 baadae kwenye eneo Treni ya abiria ilipoanguka ikitokea Kigoma

on

Treni ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam January 29 2017 ilipata ajali maeneo ya Ruvu mkoani wa Pwani ambapo jioni yake timu ya Mafundi pamoja na viongozi wa shirika la Reli Tanzania iliwasili kwenye eneo la tukio.

AyoTV na millardayo.com zipo kwenye eneo la tukio sasa hivi kuhakikisha kila kinachofanywa kinakufikia ambapo hapa chini ni video usiku wa kuamkia leo ikionyesha eneo la tukio, usalama ukiwa umeimarishwa na baadhi ya picha za Mabehewa pamoja na maelezo ya kilichotokea.

AyoTV GEITA: Muokoaji asimulia mbinu walizotumia kuokoa Watu 15 waliofukiwa kwa zaidi ya siku 3 Mgodini Geita kanda ya ziwa, bonyeza play hapa chini kumsikiliza akieleza kila hatua.

Soma na hizi

Tupia Comments