Habari za Mastaa

AUDIO: Mshindi wa BSS 2015 Kayumba anayofuraha kukualika kusikiliza ngoma yake mpya ‘Kipepeo’

on

Msanii wa Bongo fleva ambaye jina lake au kipaji chake kilianza kuonekana kupitia mashindano ya Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia ngoma yake mpya ‘Kipepeo’ akimshirikisha Enock Bella, Kayumba kaachia hiyo baada ya awali kufanya vizuri na video ya ngoma yake ya kwanza ‘Katoto’.

Unaweza kudownload ngoma mpya ya Kayumba kwa kubonyeza ‘Kipepeo’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments