AyoTV

VIDEO: Baddest 47 alivyowaimbisha ‘Nikagongee’ wakazi wa Dodoma fiesta 2019

on

Ni Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Baddest 47 mwenye hit single iitwayo Nigongee ambae alikuwa miongoni mwa wasanii  waliotoa burudani ya nguvu katika tamasha la fiesta 2019 lililofanyika mkoani Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri.

Soma na hizi

Tupia Comments