Video Mpya

VideoMPYA: Chege ft Vanessa Mdee kwenye ‘Manjegeka’

on

Msanii wa Bongofleva ambaye amekuwa kwenye game kitambo Chege leo ameachia video yake mpya ‘Manjegeka’ akimshirikisha muimbaji Vanessa Mdee, Bonyeza PLAY kuitazama video yenyewe hapa halafu usisite kuacha comment yako Chege na Vanessa watapita kuzisoma.

VIDEO: UMEPITWA NA HII YA WAKAZI?  ‘SILAZIMISHI / SI-FORCE, ACHA MUZIKI UONGEE’, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA 

Soma na hizi

Tupia Comments