Habari za Mastaa

Show ya Alikiba One Africa New York

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba alikuwa mmoja miongoni mwa mastaa wa Afrika ambao walikuwa na kazi moja tu Usiku wa August 19, 2017, kutoa burudani kwenye Tamasha la One Afrika Music lililofanyika New York, Marekani.

Mbali na Alikiba tamasha hilo lilikuwa na mastaa wengine kama Cssper Nyovest, Davido, Mr Flavour, Tekno, Tiwa Savage, Davido na wengine wengi.

Tazama hapa kitu Alikiba amefanya kwenye tamasha hilo…

Jionee show ya Alikiba na Dimpoz Las Vegas Marekani March 3 2017 

Alikiba na Vanessa walivyoalikwa Club Taboo South Africa 

 

Soma na hizi

Tupia Comments