Habari za Mastaa

VIDEO: Hatimaye wasanii walamba dili nono Steve Nyerere ahusika

on

Baada ya malalamiko ya wasanii kuhusu kuyumba kwa soko la filamu hatimaye wasanii wa filamu na muziki pamoja waandaji wa vipindi mbalimbali vya runinga wamepata mkombozi ambapo wataanza kuuza kazi zao kupitia kampuni ya mtandaoni ya SwahiliFlix.

Kampuni hiyo itakuwa ikinunua kazi za wasanii hao kuziua kupitia mitandao kama vile inavyofanyika Netflix ambayo na mitandao mingine maarufu duniani.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: AUNT EZEKIEL, SHILOLE, SHAMSA FORD, WAFUNGUKA KUHUSU SWAHILIFLIX MTANDAO UTAKAOUZA KAZI ZAO

VIDEO: IRENE UWOYA NA BATULI WAIZUNGUMZIA SWAHILIFLIX, MTANDAO UTAKAOUZA KAZI ZAO

Soma na hizi

Tupia Comments