AyoTV

Ile video mpya ya Bob Juniour ‘bolingo’ ndio hii imetoka

on

Screen Shot 2014-08-27 at 7.47.09 AMKutana na Bob Juniour, staa mwingine wa bongofleva anaesema Masharobaro wanapendwa sababu wananyota ya Chips Mayai………. time hii Juniour ametuletea kioo chake kipya cha single ya ‘bolingo’

Kama umeitazama vizuri hii video, maoni yako ni muhimu kwa sababu Bob Juniour mwenyewe atapita hapa saa kumi na mbili jioni ya leo kusoma ulichomwandikia.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments