AyoTV

Pale Neymar alipojaribu kurap kwa sekunde 15

on

Screen Shot 2014-08-27 at 8.23.15 AMNi watu wengi huwa wanapenda kuona kidogo ukoje upande wa pili wa mastaa wanaowafatilia, yani wanapokua nje ya kazi wanafanya nini au wanauwezo wa kufanya nini kingine.

Mcheza soka staa Mbrazil Neymar hivi juzi alitokea kwenye page ya instagram ya MC Nego ambae ni rapper maarufu Brazil, pia mshkaji wa karibu wa Neymar.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments