Habari za Mastaa

Wale wa hiphop! hii ni nyingine mpya kutoka A City.

on

Screen Shot 2014-08-28 at 7.41.43 AMUmemis kusikia mikito ya hiphop kutoka Arusha a.k.a A City? kama ndio…. hii ni time yako manake tumedondoshewa hii mpya ya Chaba aliyomshirikisha Jordan inaitwa Murder.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments