AyoTV

Sekunde za Shaa, Chege, Temba na Mo Music kwenye video za insta Fiestani Moshi.

on

Screen Shot 2014-08-31 at 6.49.37 AMZile video ndefu zenye kila kitu kilichotokea kwenye Fiesta zote za mikoani utazipata on AyoTV hivi karibuni ila kwa leo, hii post ni maalum kwa ajili ya kukupa sekunde 15 za Wasanii wanne waliopanda stage ya Moshi Aug 30.


Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments