AyoTV

Live za ‘we dem boyz’ ya Wiz Khalifa !!

on

Screen Shot 2014-09-01 at 2.22.12 AMWakati huu joto la Serengeti Fiesta 2014 likipita kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania Shinyanga, Musoma na Geita wakihusika weekend hii, ikiwa ni music tour inayoubeba msimu wa dhahabuna kushuhudia vijana wa Kitanzania wakifanya yao on stage, tumepewa nafasi ya kuona live za ‘we dem boyz’ za Wiz Khalifa.

Ni mmoja wa marapper wanaopendwa sana na vijana duniani sasa hivi ambapo anaonyesha ni jinsi gani wimbo wowote unaweza kupigwa live na ukavutia, ameweka thamani kwenye show zake kwa kufanya kila live.

https://www.youtube.com/watch?v=UbB0_iOK90U

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments