AyoTV

Uliona walichofanya kwenye stage @FidQ na Stamina baada ya kumuita huyu mrembo?

on

Screen Shot 2014-09-04 at 8.33.59 AMNi msimu wa dhababu unaoendelea kuusambaza upendo… Tour ya Serengeti Fiesta 2014 inaendelea kwenye mikoa mbalimbali ambapo Ijumaa hii ni hapa 98.6 Musoma na Jumapili ni Shinyanga 87.5 kote huku kukiwashuhudia live kwenye stage wakali kama Nay wa Mitego, Roma, Recho, Nikki wa II, Stamina, Young Killer, Shilole, Chege na Temba na wengine.

Hiki utachokiona kwenye hii video hapa chini kilifanyika Moshi weekend iliyopita ambapo Fid Q na Stamina walifanya suprise na kumuita huyu mrembo kwenye stage, ukishamaliza kuitazama niambie nani katisha.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments