Top Stories

Sauti kutoka bunge la katiba, Musa Azzan na wenzake kuhusu uraia pacha, Mahakama ya kadhi na mengine

on

Screen Shot 2014-09-10 at 3.35.33 AMKazi yangu kuhakikisha hupitwi mtu wangu ndio maana nimekurekodia pia sehemu ya yaliyozungumzwa kwenye bunge la katiba September 9 2014 ambapo kubwa lililozungumzwa na Wajumbe wengi ni ishu ya Uraia wa nchi mbili pamoja na Mahakama ya kadhi.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments