AyoTV

Kwenye rekodi za 2014 na hii ya huyu Mungu anaeonekana Kenya imo.

on

Screen Shot 2014-09-11 at 9.20.14 AMKituo cha TV cha K24 kiliripoti juu ya uwepo wa Mungu nchini Kenya ambae ibada zinafanyika nyumbani huku yeye mwenyewe akisema ‘Mimi ni Mungu, nimekuja kuvunja mambo yote yaliyoandikwa’

Zaidi mtazame hapa chini…

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments