AyoTV

AyoTV: Unataka kuona shangwe walilopata Stamina na Young Killer Fiestani Shinyanga?

on

68

Stamina na Young killer ni miongoni mwa mastaa wa bongofleva walioshangiliwa sana kwenye hii show ya Serengeti Fiesta Shinyanga September 12 2014 ambayo watu wa Shy town walikuja kwa wingi na kuifanya ivunje rekodi ya kumaliza ticket zote.

Kama unataka kuona shangwe walilopata Stamina na Young Killer wakiwa kwenye stage tazama hii video hapa chini…

 

Kama ni kiu yako stori yoyote inayonifikia isikupite, ungana na mimi kwa kuwa mwanafamilia mtu wangu…. bonyeza hapa >>> Insta twitter Facebook

Tupia Comments