AyoTV

Shangwe za show ya Joh Makini A town!!

on

Joh MakiniArusha ni miongoni mwa miji ya Tanzania ambayo Wakazi wake wanasifa ya kuwa mashabiki wakubwa wa muziki aina ya Hiphop….  ambapo kwenye post hii mashabiki wa A Town wamedhihirisha kweli wakati wa show ya Joh Makini mwamba kutoka WEUSI ambao ni sehemu ya wakali watakaokuepo kwenye Fiesta Ijumaa hii Iringa na Jumapili Morogoro.

Unataka kuwa karibu na millardayo? unataka kutumiwa stori? jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>> twitter Insta FB

Tupia Comments