Ad

Mix

Hukumu ya muuguzi aliesababisha kifo cha mjamzito mwaka 2009.

on

hosp 1Kwenye moja kati ya taarifa kubwa za Kenya September 25 2014 ni pamoja na hii ya Muuguzi mmoja ambae kesi yake ilianza kusikilizwa toka mwaka 2009 nchini humo kwenye kaunti ya Kyambuu.

Kituo cha Radio Jambo kimeripoti kwamba muuguzi huyu Jackson Tali mwenye umri wa miaka 41 amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo cha msichana aliyetafuta huduma za ujauzito wake kwa muuguzi huyu.

Jackson anadaiwa kutenda kosa hilo July 27 2009 huko Kyambuu.

NYINGINE: >>> Mamia ya wakazi wa Malindi walifurika kwa wingi kwenye uwanja wa ndege wa Malindi September 25 2014 kutokana na taarifa kwamba maiti sita za Wakenya waliofariki nchini Saudi Arabia zingewasili nchini humo lakini baadae ikagundulika taarifa hizo zilikua za uongo.

Karibu kwenye familia ya millardayo.com na uzipokee stori zote kwa kutumiwa usiku au mchana baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>> Twitter Instagram Facebook

Tupia Comments