Magazeti

Stori nyingine za ndani kwenye magazeti ya Tanzania Oct 2…

on

newspaper#UHURU:

Mahakama yatoa amri magari Hospitali ya Bugando kukamatwa na kuuzwa kwa kushindwa kulipa wafanyakazi wake mil.90 >>> Mtoto azaliwa bila uso Australia, atafanyiwa upasuaji ili kuunganishiwa fuvu, hutumia ishara kuwasiliana >>>  AG Z’bar anusurika kipigo bungeni atolewa nje chini ya ulinzi baada ya kukataa ibara ya 22,wajumbe watishwa,wafungiwa hotelini.

#MWANANCHI

Waislamu Arusha wapinga kuhamisha makaburi ya watu zaidi ya 2500 ili kupisha upanuzi wa kituo cha mabasi >>> Treni yaangukia kontena Pwani na kuunguza mabehewa manne yaliyokua yamebeba mbolea kupeleka Zambia.

#HabariLEO

Wanafunzi wa kike Sumbawanga hutumia uzazi wa mpango shuleni kuhofia kukatiza masomo yao kwa ujauzito >>> Kampuni ya IDE Technologies ya Israel yawasilisha ripoti kwa serikali juu ya uwezekano kugeuza maji ya bahari kuwa ya kunywa >>> Mwanafunzi wa kidato cha pili Sumbawanga aacha shule kwa kuendekeza tabia ya kufanya mapenzi na nguruwe.

Wanawake wanne mbaroni kwa kucheza kigodoro kwenye sherehe ya ndoa wakiwa uchi Wilayani Masasi >>> Dar kuwekwa kamera barabarani ili kudhibiti matukio ya uhalifu yakiwemo ya miundombinu ya barabara.

#NIPASHE:

Mtoto darasa la pili Lindi ajinyonga na mkanda wa suruali wakati wakigombea chaja ya simu na dada yake >>>Usafiri wa treni toka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam hadi katikati ya Jiji kuanzishwa ili kupunguza adha ya wanaosafiri kwa ndege, utakamilika Disemba mwaka huu ukiwa wa kilometa 13 na utabeba abiria 800 hadi1000.

JK asema msongamano Dar hauwezi kuisha kutokana na kushindwa kupanua barabara zinazopakana na magorofa >>> Sitta asema Maaskofu ni UKAWA, hawezi kuwaheshimu ambao wanatoa nyaraka alizodai hazina utukufu wa Mungu kwa waumini wao.

Tupia Comments